Responded Chemba iliyokuwa inatoa majitaka Kariakoo imezibwa baada ya kuripotiwa JF

Responded Chemba iliyokuwa inatoa majitaka Kariakoo imezibwa baada ya kuripotiwa JF

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Juzikati Aprili 14, 2025 niliona kuna member hapa JF ametoa povu kuwa Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda mlango wa kuingilia Soko Kuu (Shimoni) kuna chemba zilianza kutiririsha maji taka tangu Machi 2025 mpaka siku hiyo.

Nimepita hapo leo Aprili 22, 2025 nimeona eneo hilo limerekebishwa na maji taka hayatoki tena.

Pia, Soma: Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

Nadhani ni muhimu chemba zote zinazotoa maji machafu zifanyiwe kazi, kwa kuwa inamaanisha bila kurusha JF uchafu huo usingefanyiwa kazi na mamlaka?

 
Back
Top Bottom