cheti

  1. Carlos The Jackal

    Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  2. M45

    Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

    Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
  3. M

    Wakuu cheti mbadala cha kidato cha nne unaweza pata baada ya muda gani kwa maombi ya online

    Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani? Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3 Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu Uzi tayari
  4. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  5. JEJUTz

    Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  6. A

    Huu ujumbe wa RITA kwenye kuhakiki cheti cha kuzaliwa una maana gani

    Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
  7. Z

    Msaada kuhusu maombi ya cheti cha kuzaliwa RITA

    Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
  8. E

    Nawezaje kupata cheti kingine original cha Form 4?

    Habari, Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa kwenye interview ila changamoto yangu kubwa mpk sasa ni kwamba nimepoteza cheti original cha form 4...
  9. Magical power

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  11. Mpenda vurugu

    Hivi hawa wanaouliza cheti cha kuzaliwa ina maana hawaamini kama nimezaliwa?

    Hello, Hii kero inanikela sana kila sekta wanataka cheti cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa.
  12. JanguKamaJangu

    LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

  13. D

    Cheti chenye madoa hakitaleta shida kuitwa interview ajira portal

    Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
  14. Edsger wybe Dijkstra

    Nimepoteza cheti original, nimebakiwa na nakala zilizothibitishwa na Wanasheria. Je, nitakwama kazini?

    Wakuu, nilipoteza cheti original cha chuo, nna copy tu ambayo iko certified. Nimetuma maombi ya kazi nmb na kcb bank nafasi zilizotangazwa hivi karibuni.je kutokua na cheti og kunaweza kunikwamisha? Certified copies hazitoshii?
  15. Wakuperuzi

    Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  16. O

    Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria. Badala yake...
  17. I

    Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  18. Nipher_21st

    Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  19. Nyarupala

    Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  20. mdukuzi

    Sera Mpya; Ukioa mwanamke asiye na cheti cha form four jela miaka 30

    ======== Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
Back
Top Bottom