Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
Habari za wakati huu wakuu,
Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia.
Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED
SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
Habari ndugu zangu,wakubwa shikamoo!
Nimepotelewa na cheti changu cha FORM SIX , Jumatano ya tarehe 13/12/2023 maeneo ya POSTA mjini MBEYA.
Jina : DEBORA CHARLES MIHO
Shule niliomaliza form six : PANDAHILL SECONDARY SCHOOL
Namba ya simu :
VODA: 0752321681
AIRTEL : 0695600497
Tafadhari atakae...
Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kali kwa wafamasi na wamiliki wa maduka ya dawa waotoa dawa bila kuangalia cheti cha daktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kuendeleza tatizo la usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa na kuhatarisha afya za watu.
Waziri Ummy amesema hayo wakati akifunga...
Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu?
1.Cha form 4
2.Cheti cha kuzaliwa
3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda
4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE
5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA
Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
Naitwa Hussein Issa Nzomkunda nliibiwa begi lenye vyeti vyote ila hivo vingine nilishapata utaratibu wa kuvipata isipokua cha NIT tu.
Kwa anaejua utaratibu wa kufuata anisaidie tafadhali.
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo.
Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
Habarini wadau,
Kuna mdau anahitaji mtu mwenye cheti cha labour base kwaajili ya kufungua nae kampuni ya labourbase contractor kama upo tayari njoo ni kulink nae wakiwaa tatatu itakuwa vizuri zaidi maana wadau ni wengi kulingana na soko la specialist contractors kwenye indutry ya ujenzi wa...
Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu...
Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET).
Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”.
Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao.
Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi.
Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe lililojigeuza kamati ya Uamuzi, limemfukuza kazi aliyekuwa Ofisa wa Afya wa Wilaya, Winston Nongwa, kutokana na kughushi cheti cha kidato cha nne kinyume cha sheria na kanuni za nchi.
Sambamba na azimio hilo, baraza hilo limetoa onyo kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.