Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19.
Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira linapenda kuwakumbusha wawekezaji wa miradi juu ya takwa la sheria ya mazingira linaloelekeza miradi kupata cheti cha Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kabla ya kuanza utekelezaji wa miradi. Wito huo umetolewa na Afisa Elimu ya Jamii wa...
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea??
Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi.
Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu
Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six
Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
Ndoa kiroho ni agano.
Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia.
Siku hiyo unasaini hati ya
Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani
Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini.
Maisha ya migogoro au amani
Nini...
Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika?
Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu.
Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa.
Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo nawakumbusha kwa upendo na unyenyekevu uso kifani suala la kuzingatia maslahi ya walaji yaani wasomaji...
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi..
.
Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa...
Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya.
Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa Simiyu (SMPC) kupitia mkutano wake Mkuu maalumu uliofanyika Mjini Bariadi, tarehe 30 Disemba 2022, imemtunuku Cheti cha heshima Mbunge wa Jimbo la Itilima Mkoani humo Njalu Silanga (CCM) kutokana na mchango wake uliotukuka kwenye taasisi hiyo tangu kuanzishwa...
Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo.
Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control.
Hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.