Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu
Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la .
Chanzo : ITV
====
WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
Habari wadau
Swali kwa wanandoa ama waliowahi kufunga ndoa.
Ninatambua ndoa inakuwa na vyeti original copy mbili baada ya kufungwa. Moja ya mke na moja ya mme. Je, vinakuwa na serial namba inayofanana?
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza
Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema...
Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa...
Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A'
Sababu ni hizi,
1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
Naombeni mzoefu na kufanya hii mitihani ya certification mfano wa iyo ya CISA /CISSP/CEH anipe mwongozo mzuri, maana nataka mwaka huu nipate iyo certification moja wapo wakuu hasa hasa iyo ya CISA, wa atakaye weza nisaidia nikapata basi nitamredishia fadhira (tutaongea) kwa kazi iyo.
Gharama za...
Tunajua kuwa Ndoa ni mkataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba.
Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha
⭕ Kikristo
⭕ Kiislamu
⭕ Kiserikali
Kama vitakuwa vinatofautiana.
Asante.
Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu.
Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi?
Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu...
SERIKALI imewakumbusha wamiliki wa maduka ya dawa za binadamu kuacha kutoa dawa kwa mgonjwa ambaye ana cheti cha daktari/tabibu kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria zilizowekwa.
Pia imewaomba wananchi kuhakikisha watumia dawa kwa uangalifu na umakini zaidi ili kuweza kuepuka usugu wa vimelea...
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne.
Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
WIZARA YA ELIMU IMEPWAYA KUFUTA MAFUNZO NGAZI YA CHETI NA KUIMARISHA DIPLOMA kwa MASLAHI YA KISIASA.
Ni Tanzania Pekee tu ndio isio jua umhimu wa NGAZI za Cheti na kukimbilia Diploma.
UMHIMU WA NGAZI YA CHETI.
Tulipofika elimu zote za NGAZI ya vyeti zitafutwa na kubaki na NGAZI ya Diploma...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Wakuu Salaam;
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefuta mtaala wa ualimu wa ngazi ya cheti kwa elimu ya awali na msingi ikiwa ni hatua ya kuboresha elimu nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Naibu Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk Ave Maria Semakafu amesema hatua hiyo inakwenda...
Zifuatazo ni hatua 9 za kufuata ili kupata cheti cha tathmini ya athari za mazingira kwenye mradi wako;-
1. Usajili (Registration)
Sajili mradi wako kwa kujaza fomu maalum ya maombi ya usajili kwenda baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC). Gharama yake ni 70,000/=.Kwa siku...
DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI
Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000
Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo...
Inasikitisha sana katika kipindi hiki kigumu cha uchumi duniani kila mmoja amepanga kumminya mwenzake bila uhakika wala faida ya kinachofanyika.
Mwanzoni niliona tangazo la wizara ya afya lililohimiza wasafiri kuhakikisha kuwa wanapata cheti cha usafi wa corona kabla kuondoka nchini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.