Askari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini.
Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa...
Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na siajabu kuendelea kuajiriwa, nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti?
Mungu ndio...
Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course.
Naomba kujua kama ninaweza kufanya...
Habari, wakuu.
Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua hvo nsubirie kidogo ntatumiwa sms ya uthibitisho kuwa nimechanja pamoja na link ya kudownload hicho...
Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote.
Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2.
Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali
Nipo Dar es Salaam, maeneo...
Kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hiki cheti msaada wako unahitajika zaidi ya unavyofikiria.
Kama ulishawi kuomba ukiwa nje ya nchi pia naomba unishauri nawezaje kukipata ingali nikiwa nje ya nje.
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Natanguliza salamu,
Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne.
Naweza kutumia computer vizuri
Ninaujuzi wa Web design
Naweza kufanya kazi ya duka
Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.
Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao.
Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo.
Kwa ufupi ni kuwa mtoto huyo naye anaitwa Fiston Mayele, siyo kwamba ni jina la utani, HAPANA, ni jina hali...
TBS YAKABIDHIWA CHETI CHA ITHIBATI YA UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITISHAJI MIFUMO YA KIMENEJIMENTI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), akikabidhiwa cheti na Mratibu kutoka taasisi ya Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCAS), Bw. Victor...
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.
Wakuu Wasalaam,
Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.
Sijajua nakiweka katika section.
Msaada please
Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili nitumie kwenye harakati za ajira .
Cheti cha form 4 - xxx xxxx FREDI
Nida - xxx xxxx FREDI
Chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.