Muhali gani waungwana.
Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala.
Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/
Vyeti vikaletwa
Mpaka vyeti kutoka nchi za...
Nilifaulu mtihani WA form six Resit Physics D na ADvMath D General study F lakini kupata cheti niliambiwa haiwezekani maana masomo ni kidogo. Je, hii ikoje? Nina result slip tu.
Je, Kuna mabadiliko yoyote?
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho...
Habari wakuu.
Naomba kuuliza, wakati napita jkt mujibu wa Sheria walitupa vyet vya jkt lakini kwa bahati mbaya wakati wanatupa Mimi jina langu la mwisho katika majina matatu lilikosewa kipindi kilee, kutokana na Mambo mengi wakati natoka kambini nilishindwa kufuata taratibu kurekebisha jina la...
Naomba kuuliza. Hivi uki re- laminate cheti kilicholaminat-iwa, may be lamination ya mwanzo imechoka, maandishi yataendelea kuonekana vizuri! Au yatapauka? Na je kitakuwa imara au ndo yaleyale?
Wakuu habari,
Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa;
BAKWATA (kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za kiislamu) na Taasisi za kikristo au kanisani ( kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria...
Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi.
Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT.
Mimi nimetoa pendekezo tu,
WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO.
HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
Mimi huwa nashangaa baadhi ya watu wakishauri kwamba vijana wetu wasomee VETA wasiende degree, Je mtu akiwa na cheti cha VETA analipwa mshahara sh. ngapi kwa mwezi. 😅😅😅😅😅
Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu?
Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki.
Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje.
Naomba mwenye...
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi
Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
Wanabodi,
Déclaration of Interest.
Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje.
Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
Wadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa
Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550
Swali ni Je, ikitokea ukachoma then ukapoteza cheti inabidi ujipange upya kugongwa nyingine au inakuwaje?
wataalamu plz help
Habari,
Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta.
Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri...
Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu.
Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.