Wasaalam ndugu wote humu.
Awali ya yote nawashukuru nyie wote kwani mmekuwa mkitoa ushirikiano mkubwa kwenye kupambana kutokomeza ukatili kwa watoto wetu miaka yote. Sasa nawaalika hapa tupate mrejesho wa kitafiti kwa ufupi kabisa kisha, tuendelee kushirikiana kuendelea na mikakati...