Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.
Habari wadau..!
Hii dunia unaambiwa ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni.
Wakati pale Africable Kurasini Mivinjeni kuna mwamba kajitolea anatoa msosi bure na ana zaidi ya mwaka watu wanapiga msosi.
Kuna mwanangu kanipa info kwamba kuna mwamba yeye kafungua bar yake anatoa bia za bure ...
Business as Usual!
Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama
*Screen Protectors
*Cover za simu
*Power Banks
*USB Cables / Charges
*Chaja za simu
*Memory Cards
Aluta kontinua!
Kwema wapambanaji?
Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini.
Nitafurahi kama nitapata msaada .
Waswahili wanasema Fuja Mali Kufa Kwaja, Kama kawaida Santana leo nimetua Babati Manyara, Nasikia Huku Kuna totoz za Laana.
Wazoefu nitonyeni Chimbo za Starehe zenye watoto safi wa Kimbulu.
Ova!
Hello ladies and gentlemen...
Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa.
Nawasilisha.
Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals.
Karibuni
Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA.
Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla.
So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.