Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake.
Mtei
Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere.
Bob Makani
Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa...
Mzuka Wanajamvi!
Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio maji.
JF CEO of water Source, Heritage and conservation.
Masters
John Hopkins
Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni mzaliwa na mkazi wa Mbeya kabisa.
Kuna mtu kama Prof J, Advance kasoma shule ya Lutengano Mbeya...
Kwa Mpalange
Ni neno maarufu sana nyakati hizi ukizingatia utandawazi umekuwa kwa kasi sana
Neno Kwampalange limekuwa likitafsiriwa kwa maana chanya na hasi
Kwa upande chanya Kwampalange ni sehemu ya
Buza ikiwa kama kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye...
Mgeni siku ya kwanza
mpe mchele na panza;
mtilie kifuani,
mkaribishe mgeni.
Mgeni siku ya pili
mpe ziwa na samli;
mahaba yakizidia,
mzidishie mgeni.
Mgeni siku ya tatu
jumbani hamuna kitu.
mna zibaba zitatu,
pika ule na mgeni.
Mgeni siku ya nne
mpe jembe akalime.
akirudi muagane,
aende kwao...
INDIAN RUNNER DUCKS
Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA.
Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo chini , kinacho watofautisha na Bata wengine ni nature ya miili yao miembamba na shingo ndefu...
Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi.
Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar.
Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika.
Kama kuna anayeweza kuelewesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.