Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na nchi zote za Afrika zenye uhusiano wa kibalozi kwenye ngazi ya kimkakati, na uhusiano kati ya China na...