Chipsi mayai (Swahili for "chips and eggs"), also known as zege, is a popular street food found in Tanzania, East Africa. In its most basic form, chipsi mayai is a simple potato-egg omelette. It is available in most regions of Tanzania, from the most remote villages to large towns. Food stands both indoors and on streets make them to order.
It is generally prepared with chips, oil and beaten eggs fried together in a pan. It is often served with Kachumbari.
Salaam alaikum,
Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake.
Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran
Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi.
Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam.
Aliye serious anicheki PM tafadhali.
Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba.
Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo;
i) - Sinza
ii) - Kinondoni
iii) - Magomeni
!v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
Wana JF nauza hivo Vifaa;
-Kabati kubwa ngazi tatu
-Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa
-Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida
-Jiko la mishikaki
-Meza ya kuweka Kabati
-Makalai mawili ya viazi na kuku
- Flampeni 2
-Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa
Bei 380K vyote.....
Eneo lipo...
Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk.
Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja
Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama...
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana.
Pale nyumbani kwangu wanakula japo siyo mara kwa mara inaweza kupita zaidi ya miezi mitano ndiyo wanakula, wanajua kabisa kwakipika hii kitu baba lazima...
Naamini IGP Sirro anakaribia kustaafu utumishi wake kwenye jeshi la polisi uliodumu kwa zaidi ya miaka 30. Japo amefanya mengi lakini yapo ambayo bado ananyyoshewa kidole kwayo. Japo ni mengi lakini naomba niwasilishe swala hili moja tuu kwa leo. JESHI LA POLISI CHINI YA SIRRO limeshindwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao.
“Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao
Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
RANCIDITY NI NINI?
Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
Jiko la gesi LA kukaangia chipsi linauzwa kwa 70000 tu. Lina regulator ya high pressure na pipe yake ya mita tatu. Limetumika mwezi mmoja tu.
Lipo mbezi beach-salasala. Atakaehitaji anicheki 0679478758 / 0744069243
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.