chipsi

  1. Mr mussa

    Natafuta jiko la gesi kwajili ya kuchomea chipsi yale ya kutengenezwa

    Habari! Natafuta hilo jiko ambaye anauza tunaweza fanya biashara. Pia kama kuna mtungi wa gesi hii mikubwa nao nahitaji. Mawasiliano 0743451357. Hata ukinisaidia connection jinsi ya kuyapata utakuwa umenisaidia. Ahsante
  2. K

    Kijana wa chipsi anahitaji!!

    Anahitajika kijana wa jikoni, Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar. Awe na nia na kazi sio msumbufu!!mimi nitakuunganisha na muhusika, mengine mtaenda kukubaliana mwenyewe, mimi ni mjumbe.
  3. A

    Anahitajika mpishi ambaye anajua kupika

    Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
Back
Top Bottom