Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo,
Mabeberu wanafahamu...
Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara.
Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane,
Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi...
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo.
So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc)
Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu.
Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi .
Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
"Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni...
Wakuu habari zenu.
Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia...
Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa.
Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko.
Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti...
Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church.
Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake.
King Henrry nae wakati anaasisi...
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu.
Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana.
Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe.
Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa.
Tundu Lissu...
Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe
Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !!
Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k.
Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k.
Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
Habari,
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia.
Asante
Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.