Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu?
Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya kabisa Kwanini harejei? Najua Kuna watu wengi wamemmis akiwa mahakamani sambamba na akina Kibatala...
Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua
Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana..
Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele.
Raila...
Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano.
Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda mbali nitachukuwa mfano wa Quebec na Canada.
Quebec ilikuwa nchi ambayo walijiunga na Canada na...
Maisha yetu (watu wa level ya chini) yamekuwa hayatabiriki kabisa, hatuijui kesho yetu. Hata kula ni ya changamoto sana.
RAI YANGU:
Kidogo unachopata, hata kama ni kidogo, tumia kiasi then kitunze, kirundikane na vyenzie ili viisaidie kesho yako.
Kuna wakati mwanaume mzima unaamka huna hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.