Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo utakaowapa mwongozo wa matendo yenu kwenye masuala mbalimbali”
“Kwa kuizingatia historia ya Rwanda...
Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa supapawa dunia hii.....
In a statement on Friday, Kanaani described the attacks on Yemen as a clear...
Kichwa cha habari kinahusika.
Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada.
Hawana cha kukupa zaidi ya UTI
Hawana shukrani
Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k
Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze.
Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu.
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba...
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia...
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani!
Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu ikiwa huna duka, huna chochote?
Hivi mwanamke akiwa anakusumbua hivi na haumjibu chochote kila siku utafanyaje?
Huyu mwanamke nilikuwa Naye kwenye relationship ila tatizo lake ni kausha damu, kitu kinachofanya nisimwamini sana, ndio maana sitaki mazoea naye.
Sasa amekuwa ananicheck karibia kila siku ila mimi nimeuchuna na...
Katika zama ambazo kumeibuka vitu vingi vinavyoweza kumpatia mwanadamu uraibu wa kupoteza muda ni zama tunazoishi. Uzoefu wa kawaida wa maisha unaonesha mambo yanayopoteza muda wa watu kwa visingizio au sababu mbalimbali kuongezeka mara dufu Duniani.
Siyo jambo la ajabu leo kumkuta mtu...
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Nimefungua huu uzi baada ya kuona "dokezo" hili lililopostiwa hapa JF...
https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-shule-ya-mpanda-day-wanalazimisha-wazazi-tulipe-hela-ya-twisheni-wakati-wa-likizo.2163945/unread
Nipo hapa kupinga hili dokezo kwa nguvu zote kwa sababu haliendani na uhalisia wa...
Kwa kifupi, hili la kurejesha mateka ni namna tu ya kuwapa HAMAS fursa ya kupumua, ila mapumziko kamili ni akhera kule kwa mabikira, kipigo kiko pale pale.
=================...
Sio mara ya Kwanza Mungu kuwafanya wanaomufuata Mungu.
Ili Musa amvae Farao ambaye kwa kimisri alikuwa anahadhi ya muungu alimfanya kuwa mungu kwa farao.
Kuna watu ni miungu, kuna miungu mingi, ukiwaface kama binadamu watakushinda, lazima uvae cheo chako cha umungu ili uwe juu yao.
Biblia...
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.
Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza...
Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili.
Bila kuanza kukumbushia kilichofanya atengwe kwenye utawala wa awamu ya tano naomba tujikite kwenye fikra hizi.
Mwaka 2014/2015...
Kwema Wakuu!
Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara.
Lakini kushindwa kunakotokana na usaliti sio tuu inaumiza bali pia inaua nafsi na roho.
Fikiria mtu uliyekuwa unamuamini na...