Maisha yetu (watu wa level ya chini) yamekuwa hayatabiriki kabisa, hatuijui kesho yetu. Hata kula ni ya changamoto sana.
RAI YANGU:
Kidogo unachopata, hata kama ni kidogo, tumia kiasi then kitunze, kirundikane na vyenzie ili viisaidie kesho yako.
Kuna wakati mwanaume mzima unaamka huna hata...