chris brown

  1. W

    Chris Brown kuipeleka Warner Bros. mahakamani kwa kuchapisha taarifa za uongo kwenye Documentary ya "Chris Brown: A History of Violence"

    Mwanamuziki Chris Brown amewasilisha kesi dhidi ya kampuni ya filamu, Warner Bros. Discovery akiidai kampuni hiyo kiasi cha Tshs. Trilioni 1.2, akidai kwamba kampuni hiyo imechapisha taarifa za uongo na zinazomdhalilisha kupitia "Documentary" ya "Chris Brown: A History of Violence" Ni baada...
  2. Jobless_Billionaire

    Hatimaye Chris Brown kaweka wazi kuwa Member wa team KATAA NDOA

    Unakubaliana na Chris Breezy?" Mwanamume aliyeoa ni mtu mfu anayetembea kwenye rehema za Mke wake. Siwezi kamwe kuoa kwa sababu yoyote ile." Chris Brown "Sidhani kama ndoa ina maana yoyote kwa wanaume. Mwanaume yeyote aliyeoa ni mtu aliyekwisha. Ninaelewa ndoa ni nini na ndio maana siwezi...
  3. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  4. Waufukweni

    Wanaharakati wa Haki za Wanawake Afrika Kusini wataka shoo ya Chris Brown ifutwe

    Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake nchini Afrika Kusini kutoka Taasisi ya Women for Change wameanzisha kampeni ya kutaka kusitishwa kwa shoo ya staa wa RnB duniani, Chris Brown maarufu Breezy pnchini humo linalotarajiwa kufanika kwa siku mbili, Desemba 14 na 15, 2024. Wanaharakati hao...
  5. Waufukweni

    Tamasha la Chris Brown Johannesburg: Tiketi zote zimeuzwa, zikiwa na bei kuanzia Tsh. 94,000 hadi 800,000

    Tiketi za tamasha la Chris Brown ‘Breezy in South Africa’ katika Uwanja wa FNB, Johannesburg, zimeuzwa zote, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika tarehe 14 Desemba. Hili ni moja ya matukio yanayosubiriwa kwa hamu, ambapo mashabiki wamenunua tiketi kuanzia shilingi 94,000 hadi 800,000...
  6. Waufukweni

    Tyla awaburuza Chris Brown, Burna Boy na Usher tuzo za MTV Video Music Awards 2024

    Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
  7. sinza pazuri

    Ukweli usemwe: Chris Brown ni mkali kumzidi Michael Jackson

    Najua ni ngumu kusema huu ukweli na kueleweka sababu watu wanakalili na wanarithishwa dhaania. Michael Jackson ni msanii mkali sana na anaheshimika mno kutokana na mambo aliyofanya kwenye entrainment duniani. Lakini hajawai na hawezi kufikia talent aliyonayo Chris Brown. Hii dunia haijawai...
  8. Mjanja M1

    Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

    Hili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni. Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond SMHO. Yani Chris Brown leo ametukuzwa kila mahali, kiasi kwamba Chris akijua kinachoendelea hapa Tzzz...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Michael Jackson (MJ) kamwe hawezi kumfikia Chriss Brown kwenye "kudance"

    Nimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi anaweza kua bora zaidi ya Mwalimu wake nimebaki kushangaa na kusikitika tu. Hapa siongelei kuimba...
Back
Top Bottom