christiano ronaldo

  1. Down To Earth

    Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

    Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa. Contradiction...
  2. G

    Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  3. Yopinto

    Messi au Ronaldo, leo utatambua mashabiki wa Ronaldo wengi wao hawana akili

    Nataka kuonyesha kuwa mashabiki wengi wa Ronaldo hawana akili japo sio wote kuna vipengele hapa nitaviweka hapa na utambue kuwa wewe kama utaamini Ronaldo ni bora kuliko Messi basi Huna akili timamu 1. Magoli 900+ sio kigezo cha mchezaji kuwa bora kuliko mwingine lakini hii inaonyesha kwamba...
  4. tpaul

    Tufuate mfano wa malezi wa Christiano Ronaldo; hebu msikilize kwa makini hapa

    Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha. Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali zinapatikana kwa uchungu. Sio kila akiomba hela unampa halafu anaenda kuspend na girlfriend wake...
  5. 2 of Amerikaz most wanted

    Christiano Ronaldo to be investigated after gesture he made towards fans for chanting Lionel Messi

    Ronaldo is set to face possible investigation after an on pitch 'obscene gesture' he made towards fans who chanted Lionel Messi's name towards him. The gesture came after Al Nassr's 3-2 victory over Al shabab, in which Ronaldo scored a penalty. After final whistle, Ronaldo could be seen...
  6. Huihui2

    Sanamu ya Nyerere kutofanana; Je sanamu ya Christiano Ronaldo inafanana na mwenyewe

    Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine. Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali...
  7. KING MIDAS

    Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

    Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Sinema: Onana akipiga goli kama Christiano Ronaldo

    https://youtu.be/8irfsqXvYXw?si=zl4iDwIz-hgBriu6 Kapiga goli la kuchekesha 😀😀😀😀 Kwanza alitaka kupiga chenga kama Ronaldo, akafanyiwa faulo. Kisha akapiga goli kama Ronaldo My Take Huu mgoli ingekuwa ni pisi ingeinjoi sana
  9. JanguKamaJangu

    Messi aongoza wanasoka waliotazamwa mara nyingi Mtandaoni 2023

    Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi mbalimbali kwa Mwaka 2023. Utafiti huo umeonesha mafanikio ya Kombe la Dunia na uhamisho wake kutoka...
  10. M

    Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

    Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=): Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375) Kwa wiki...
  11. Mhaya

    CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

    MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka...
  12. S

    Christiano Ronaldo: Star wa dunia

    Cristiano Ronaldo a boy from Madeira ureno Hadi kuwa superstar wa DUNIA kwenye mtandao unaotumiwa na watu wengi duniani Instagram, kuhama kwake ulaya kwenda uarabuni kumeleta mabadiliko kadhaa kama wachezaji wengi maarufu wa ulaya kuhamia uarabuni it was marketing strategies najamaa kweli wame...
  13. JanguKamaJangu

    Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa kufunga magoli mengi Ulaya

    Lionel Messi amefunga goli moja wakati timu yake ya Paris St-Germain ikitangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ licha ya sare ya 1-1 dhidi ya Strasbourg. Goli alilofunga Messi limemfanya kuwa machezaji anayeongoza kwa kufunga magoli mengi katika Ligi tano kubwa Ulaya, kwa kufikisha...
Back
Top Bottom