Habari zenu wana jukwaa. Mimi ni kijana wa kiume nina changamoto ya maradhi (chronic gastritis & acid reflux) mwenye ufafanuzi naomba anisaidie
BACKGROUND
Nimekua nikisumbuliwa sana na tumbo ever since nipo mdogo sana. Tumbo limekua ni kitu kinachonisumbua na kuniumiza sana kana kwamba likianza...