Wakati Dunia ikisherekea sikukuu za Christmas na kupeana zawadi kemu kemu. Na Santa Claus "Father Christmas" akisemekana kuzunguka hapa na pale kutoa zawadi. Wadau wamehoji mbona hawajawai kumuona Santa Claus akienda Magetoni mwao kutoa zawadi, hili hali maisha ya megotoni magumu, watu wanakula...