Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Wakati Dunia ikisherekea sikukuu za Christmas na kupeana zawadi kemu kemu. Na Santa Claus "Father Christmas" akisemekana kuzunguka hapa na pale kutoa zawadi. Wadau wamehoji mbona hawajawai kumuona Santa Claus akienda Magetoni mwao kutoa zawadi, hili hali maisha ya megotoni magumu, watu wanakula ugali na picha ya Samaki.
Chronix yeye akaona isiwe kesi, akaamua kuhoji kwa njia ya Raggae Freestyle kuwa "Lini utakuja Magetoni?". Kibao kikaitwa "Santa Claus, Do you ever come to the Ghetto?".
Mwenye namba ya Santa Claus mwambie Marasta wanataka Zawadi magetoni, asiishie tu ushuani