chuki na mafanikio

  1. Pdidy

    Mtu anayependwa na kila mtu hafanikiwi

    Ndugu, Usitakee kupendwa na kila mtu. Ndugu zakoo marafikii zakoo ukionaaa hawakupendwi ujue mafanikio yako yako karibu. Wengi waliopendwa wakitaka kupendwa waliolazimishwa kupendwa na ndugu marafiki leo wanateseka. Kwenye chuki ndio kuna upendoo. Yule anaekuchukia usimchukie mpende ndio...
Back
Top Bottom