chumaulete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Hakuna pesa za chuma ulete, kama zipo ungekuta mabenki yote yamefilisiwa na hao watumia chumaulete biashara zisingefanyika

    Hakuna kitu ya namna hio hizo ni fix tu za kijiweni. Kwamba kuna namna mtu akikupa pesa inapotea kimazingira au ukichanganya na pesa ulizokuwa nazo hata kama ni 5M zinasepa.
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jinsi Chumaulete inavyo asili maisha yako wewe mfanya biashara

    Chuma ulete ni aina ya uchawi ambao hutumiwa na Wanga au Wachawi kwa lengo la kupata faida ya pesa kutoka katika mauzo ya watu wengine. Uchawi huu ni maarufu sana karibu kila kona ambapo huwa na shughuli za kibiashara kwani hapo ndipo pesa inapopatikana kirahisi. Uchawi huu wa chuma ulete...
Back
Top Bottom