chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. House4Rent Chumba Master kinapangishwa Mbezi Beach

    Chumba Masta. Kodi Tsh 120,000 Eneo - Mbezi Beach, Makonde Ndani ya fensi, Maji ndani. Umbali wa kutembea. Umeme submita yake. Maelezo zaidi: 0679268006
  2. P

    House4Rent Chumba kinapangishwa Mbezi Beach

    FOR RENT - CHUMBA MASTA NA SEBULE - TSHS 150,000/= Mbezi Beach GOIGI. CALL 0679268006 ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
  3. House4Rent Chumba singo Kinapangishwa - Mbezi Beach

    KINAPANHISHWA CHUMBA SINGO LOCATION : MBEZIBEACH SHULE BEI : 60,000 SIMU : 0679268006 UMBALI WA KUTEMBEA, NDANI YA FENSI WAPANGAJI 3 TU.
  4. Jaribisha kuongeza hivi vitu vitatu (3), kubadirisha muonekano wa Sebule au Chumba chako!

    Wakuu, kwema? Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako. 1. Picha za Ukutani Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na...
  5. K

    Ni sawa kuwaweka kuku wa 4 walioatamia sehemu mmoja?

    Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao? Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado hawajaanza kutaga so ni sahihi kuwaweka kwenye chumba kimoja maana chumba kipo?
  6. Ni mnyama au mdudu gani akiingia chumbani huwa unakosa amani?

    Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama wa aina mbalimbali. Haijalishi ni nyumba ya aina gani unaweza kushangaa mdudu au mnyama...
  7. Watu wenye Single Room: Leo ngoja tuwasaidie kupangilia Chumba chako

    /* insert salam here */ Wengi tumewahi kuishi au tunaishi kwenye single room. Leo tupeane tips z kufanya ghetto lako liwe safi na la kuvutia kwako na kwa wageni. [Tips zitatofautiana kutokana na size ya room, kipato (tutajitahidi kuweka basic), aina ya room (self au sio self), etx] 1. Size ya...
  8. Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  9. Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  10. Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  11. Chumba cha 20,000/= Buguruni

    Niaje wakuu! Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo. NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
  12. Natafuta chumba cha kupanga single self (Mbeya town)

    Habari za wandugu! Naombeni msaada wakuu. Kama kuna yeyote anayeweza kunipatia msaada wa chumba kizuri hapo mjini mbeya, pasiwe mbali na Mtaa wa mahakama Kuu. (Sehemu ya bajaji moja hadi maeneo ya Open University itapendeza) Ninatanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
  13. M

    Chumba cha kupanga kinaitajika

    NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
  14. Natafuta Chumba, Kitanda na godoro 4x6

    Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda 2.kitanda 1 futi 4x6 3.godoro 1 futi 4x6 kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
  15. Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

    Wasalaam. Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza. Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
  16. P

    Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

    Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo. Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote. Ungefanya kitu gani? Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
  17. Afisa wa Kenya aliyehudhuria mazungumzo ya Haiti huko Washington apatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli

    Mwanachama wa ujumbe wa Kenya uliokuwa ukitembelea Washington alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli mapema wiki hii, maafisa wa Marekani na vyombo vya sheria walithibitisha Alhamisi. Afisa huyo alikuwa afisa wa polisi wa ngazi ya juu ambaye alikuwa amesafiri kwenda Marekani...
  18. Natafuta nyumba au chumba kiwe master

    Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka sheli hiyo. Namba zangu 0713342243
  19. Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  20. Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

    Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi. Natanguliza shukran kwenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…