chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. stan john

    Rangi gani inafaa kupaka kwa ndani kwenye chumba anachoishi mwanaume?

    Habari, Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani? Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume? Asante
  2. cleokippo

    Msaada wa njia bora ya kuondoa nyuki waliowekamakazi kwenye chumba changu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
  3. Forest Hill

    Je kujenga chumba Kama hiki inagharimu kiasi gani(makadirio)

    Kichwa Cha habari kinajieleza ndugu zangu,hapo gharama inaweza kufika kiasi gani??
  4. kamandawasua

    Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  5. Mzee Saliboko

    Naomba ushauri kuhusu Chumba cha Kupanga External

    Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia. Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
  6. F

    Jirani yangu chumba cha pili akiwa na mkewe wakinaniliu lazima aangue kilio

    Nakaa huku uswahlini chumba hakina siling bodi na ukuta unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe anamwambia...
  7. Twilumba

    Vihoja Chumba cha mtihani

    Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters! Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo kwenye chumba cha mtihani. Mimi nakumbuka tukiwa undergaruate mama mmoja aliambiwa anyanyuke lile...
  8. R-K-O

    Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  9. Next Elon Musk

    Natafuta chumba master Kinondoni b au studio au Sinza

    Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
  10. Beberu

    Gharama ya kujenga Chumba sebule

    Wakuu, Naombeni msaada, hivi kujenga Nyumba ya chumba kimoja, sebule na jiko, inaweza tumia kiasi gani? Nipo Dar mimi, kiwanja tayari kipo.
  11. Afrocentric view

    Natafuta chumba cha kupanga Maeneo ya Banana, Buza, Kinyerezi, Segerea na karibu yake

    Hello wadau' Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo. Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide. Natafuta master room Tiles, gypsum all that Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi. Bajeti: kisizidi laki
  12. K

    Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  13. M

    Chumba cha kupanga kinaitajika Namanga (Kinondoni)

    Wadau salaam, Natafuta nyumba/chumba ya kupanga maeneo ya Namanga, Ada Estate na maeneo ya karibu na hapo. Nahitaji nyumba ndogo hasa chumba/master room (self-contained) yenye jiko. Naomba niinbox kama unayo au unataarifa.
  14. kayanda01

    Naombeni Ramani ya Master, sebule, chumba self, jiko, study room

    Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof). *Master room *Sebule/sitting room (kubwa) *Self bedroom *Jiko *Study room N.B: Ni kwaajili ya bachelor life. So public toilet itakuwa nje.
  15. sekhal

    House4Rent Natafuta Chumba cha kupanga Bunju au Mapinga

    Habari zenu Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
  16. Zombie S2KIZZY

    Natafuta chumba Cha kupanga

    Natafuta chumba Cha kupanga maeneo ya boko basihaya, chasimba, tegeta dawasco na maeneo ya karibu na hapo. Nataka Cha 40k au 50k
  17. superkumonga

    Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo. Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani. Maji yapo karibu. Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
  18. Metadata

    Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  19. sky soldier

    Uliwahi kuishi chumba, hostel au nyumba moja na room mate ambae si muungwana, weka kisa chako hapa

    Oh my God, mbwa anaingia na kutoka nyumba tunayoishi, room mate kamleta mbwa mdogo wa kucheza nae, shughuli si ndogo hii!! kuna muda tulienda kikazi mkoa x kwa miezi mitatu, niliishi na jamaa anapenda sana mbwa, siku ya pili kaleta ki puppy kimbwa kidogo anakijali kama mtoto wake vile, kucheza...
  20. M

    Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
Back
Top Bottom