chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
  2. The Eric

    Je, wewe unapangilia vipi chumba chako cha kulala?

    Halo JF nipo jukwaa hili. Hivi chumbani unapolala huwa una vitu gani na gani? Vipi mpangilio wako wa vitu. Huwa unakumbuka kupangilia au ndiyo mambo mengi siku moja moja unadeki 😅😅😅 ninacheka maana wanaume wengi wachafu sana yaani chumba cha kulala kama danguro la wahindi, au karakana za...
  3. B

    Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
  4. DR HAYA LAND

    Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  5. sanalii

    Kwa mliowahi kupanga chumba, ushawahi kunatana na mpangaji mwenza mwenye kiburi?

    Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku. Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa. Mwanzoni mambo yakawa...
  6. Dodoma messengers

    Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  7. dongbei

    Msaada: Mchanganuo wa gharama za kujenga poles/nguzo na slab ya juu chumba cha 2.5m*2.8m size

    Poleni na mapambano wakuu. Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo. Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
  8. NetMaster

    Nitamjuza vipi rafiki yangu bila kumkwaza, kwamba akivua viatu chumba kinajaa harufu mbaya?

    Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma! Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
  9. APPROXIMATELY

    Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
  10. Mwachiluwi

    Natafuta chumba maeneo ya Morocco

    Za jioni, Nahitaj chumba kimoja maeneo ya Morroco. Sitaki dalali hatuna hela ya kumpa, sina maelezo mengi.
  11. torvic

    kinahitajika chumba cha kupanga

    Habari, kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
  12. BARD AI

    JWTZ na Polisi wategua Bomu ndani ya chumba cha NMB Bank Shinyanga

    Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa Kamanda Magomi amesema mkoba uliokutwa na kilipuzi hicho ulisafirishwa hadi Kambarage Police Barracks...
  13. M

    Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

    Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama. Kikipatikana mapema...
  14. ELISANTE DAVID

    Natafuta Chumba cha 100,000/= Maeneo ya Mbezi Beach

    Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni Self(Master). Cha bei ya 100,000/= kwa mwezi
  15. Nyuki Mdogo

    Mwanza: Nyumba ya Chumba na sebule kwa milioni 4 tu

    Habari zenu? nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20 Nyumba ni ya Chumba na Sebule Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4 kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
  16. Nduna shujaa

    Wastani katika chumba kimoja cha darasa ni wanafunzi wangapi na choo tundu moja wanafunzi wangapi?

    Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120. Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
  17. S

    Ajira hakuna lakini kazi zipo

    Usitengemee Bahati
  18. JanguKamaJangu

    Faida na athari za Mwanaume kuwepo katika chumba wakati mwenza wake akijifungua

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna mambo ambayo yanaweza kutajwa kuwa ni faida au hasara za suala hilo kama ambavyo inafafanuliwa na...
  19. Sky Eclat

    Maisha katika chumba kimoja ukiwa na familia

    Inamaana upande moja wa chumba ndiyo kuna kitanda chako na juu ni kitanda cha mtoto au watoto. Wasizidi wawili. Hizi ngazi ndiy pia kabati la kuweka nguo zenu. Upande wa pili kuna soda bed kama ikitokea unapata mgeni. Coffee tabel ndiyo dining table pia. Kuna jiko la gas hapo pembeni...
  20. Nyendo

    Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
Back
Top Bottom