chumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Drones zimeanza kufika chumbani kwa Putin, je bado atahutubia Mei 9?

    Serikali ya Urusi imetoa katazo la drones za aina yoyote angani mwake siku zikisalia chache kabla rais kuhutubia huku tishio la drones likitamalaki, ambazo zimeonyesha jeuri ya kupaa juu ya kichwa cha rais akiwa kwake chumbani. Wafuasi wa mtume Putin povu ruksa...supapawa anakutwa bedroom Pia...
  2. NetMaster

    Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
  3. DodomaTZ

    Katavi: Ajinyonga chumbani kwa Watoto wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Eden Mwakipesile (49) mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu Mkazi wa Kijiji cha Ibindi Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amekutwa akiwa amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha kulala watoto wake kwa kutumia Kamba. Diwani wa Kata hiyo ya Ibindi Daniel Peter...
  4. BARD AI

    Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

    Suala la watoto kulala na wazazi chumba kimoja linaelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili ya Kitanzania, huku umaskini ukitajwa kuwa sehemu mojawapo. Kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo, baadhi ya watoto hukaa macho usiku kuangalia nini kinachotokea kwa wazazi wao au kusikiliza...
  5. MR.NOMA

    Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  6. M

    Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
  7. Mkurya romantic

    NYIMBO ZA KUSIKILIZA UKIWA NA MPENZI WAKO CHUMBANI

    Kabla ya kupitia hii thread hakikisha mpenzi wako ana umri kuanzia 18+ pia asiwe mtu kutoka kanda ya ziwa au mbeya maana hawa ndugu zangu nawafahamu vizuri 😂😂 ⚠️Hakikisha mpenzi wako wallau anakijua kiingereza hata cha kuombea maji cause mtaenjoy saana Okay nimeamua ku share playlist ya...
  8. JanguKamaJangu

    Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  9. sky soldier

    Ulifanya nini mwanamke alipotishia kupiga kelele kuwa unambaka baada ya kukataa kufanya mapenzi?

    Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
  10. ILULA HILLS

    Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

    Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani. Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu...
  11. Suley2019

    Mbeya;Polisi ajinyonga chumbani

    Picha: Sajenti Novatus ambaye anadaiwa kujinyonga ndani ya nyumba yake Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limethibitisha kifo cha askari wake mwenye namba EX.SGI, Sajenti Novatus ambaye amejinyonga ndani ya nyumba yake eneo la Mwambene, Kata ya Mwakibete jijini Mbeya. Akizungumza na Mwananchi kwa...
  12. Sky Eclat

    Ni sahihi kumuwekea “teenager” TV chumbani kwake?

    Kwakweli utandawazi wazi umeharibu mila na desturi zetu. Ni kawaida watoto kuangalia vipindi na sinema wanazopenda hata kuna wakati unakosa nafasi ya kuangalia taarifa ya habari. Watoto kuwa na uhuru wa kuangalia vipindi vyao vyumbani mwao wanaupenda sana. Lakini pale mtoto anaposhindwa...
  13. Chinga One

    Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

    Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu, ulingana na mafundisho tunayopewa kule, Haijalishi una umri gani yani hata uingie jando na miaka 8 Ni MARUFUKU KABISA na kamwe hautakaa uingie...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

    Huyu jamaa huenda ni shushushu VIP , lakini sisi tunamchukulia poa huku tukijidanganya kuwa msemo usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO umepitwa na wakati
  15. M

    Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

    Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio...
  16. chiembe

    Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

    Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
  17. mugah di matheo

    Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

    Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu. Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana...
  18. Analogia Malenga

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  19. GENTAMYCINE

    Ni sehemu gani nzuri ya Kuficha 'Pochi' yako Chumbani 'Gesti' ukiwa umemnunua 'Malaya' wa Kulala nae hadi Asubuhi ili asikuibie?

    ANGALIZO Tafadhali Mleta Mada ( Uzi ) GENTAMYCINE siyo 'Mnunuaji' wa hao 'Malaya', ila hapa nawasilisha tu 'Malalamiko' ya 'Wanunuaji' wengi ambao huwa nina bahati ya Kukutana nao mara nyingi.
  20. May Day

    Kundi la Nyuki limeingia chumbani, nawatoaje?

    Nimetoka kwenye mishughuliko yangu naingia ndani nakaribishwa na mivumo ya sauti za Nyuki zaidi ya kama mia moja hivi. Nitumie mbinu gani ya kuwatoa bila kuwaua, na kama ni kuwapulizia dawa wafe basi iwe ni chaguo la mwisho.
Back
Top Bottom