chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  2. M

    Usishangae kuona uliyempa chumvi anakupa sumu kama shukurani

    USISHANGAE KUONA ALIYETAKIWA KUKUTETEA NDIO ANAHAMASISHA UPIGWE Ukiona hayo usishangae hata kidogo kwa sababu yoyote anaweza kuwa yule usiyemtarajia kuwa. Unaweza msaidia kiberiti awashe moto wa kupikia ila akimaliza tu mpaka kula anakuja na kiberiti kile kile kuchoma nyumba yako. Atakupigia...
  3. Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀

    Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀 Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda sana ila sisi wanaume huwa tunaona kukaa jikoni na mkeo ni ugai gai ila ni moja ya kitu bora sana kwao
  4. PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  5. MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

    Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa...
  6. B

    Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  7. Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  8. Mashine zq kuchuja chumvi kwenye maji

    Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya maji chumvi
  9. Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  10. Nahitaji dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji

    Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
  11. N

    Kila kitu kimekuwa fake: Chumvi, sukari, sabuni, viberiti

    Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto Sukari nayo haikolei kwenye chai wala uji, kiasi inabidi itumike nyingii Sabuni ndo usiseme, kipande...
  12. Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
  13. Mama wa jirani yangu ameniomba chumvi na sukari saa kumi usiku

    Wakuu habari. Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka. Naomba kujua Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo. Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
  14. A

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
  15. Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  16. Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

    Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi. Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
  17. Kisa cha Chumvi na hatma yangu shuleni

    Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya muda mfupi mwanamke mwingine kaja na kutaka kuweka chumvi nyingine, ndipo nilipo sahau kabisa kuwa...
  18. P

    Unafahamu Nini kuhusu chumvi?

    Unafahamu Nini kuhusu chumvi ?? Je chumvi inasaidia nini Katika Maisha ya binaadamu ?? Ukiachana na matumz ya jikon Wewe unafahamu Nini kuhusu chumvi ??
  19. Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana. Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi? Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari? Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi...
  20. G

    Chumvi inalabwa sana vyumbani, kuna haja ya kuzileta kondom za ulimi kuzuia maradhi

    Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…