Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo.
Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
Wadau habari za leo !
Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao:
1. Dagaa nyama,
2. Dagaa wakavu/Lukumbu,
3. Lumbunga , na
4. Ng`onda pia wapo.
-Mauzo ni kwa jumla,
-Bei ni poa,
-Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa...
Nawasalimu kwa ujumla wenu.
Kama heading inavyojieleza, nlikuwa naomba kwa wale wanaojua chanzo cha tatizo na tiba yake. Nina wiki moja hapa mdomoni kuna ladha ya chumvi, nilijaribu kwenda hosptali ila sioni msaada kwa tiba nliyotumia.
Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema.
Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi.
Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili.
Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake
1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini?
2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata nini uwanja wa ndege? Nini kilitokea?
3. Mayunga alipomfuata Nyerere ikulu kudai ongezeko la...
Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu.
Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
Nliambiwa na mtu niingie chumvini. Sikumwelewa "mashokoro mageni" nikawa tu naendelea na mambo yangu akanishika kichwa na kukielekeza huko ...sikuelewa. akanambia lamba chumvini
Hapo akanikata stimu kabisa...nikajiuliza hawa wadada watakuja kupata kansa kwa nini anaweka chumvi huko akitaka...
Karibuni sana.
hio ni chumvi ya mawe/mabonge
uzito ni 50kgs
kuna mifuko zaidi ya 500.
ipo Igoma, mtaa wa Kilimo A jijini Mwanza.
bei: 25,000 Tshs. Wengine wanauza elfu 30 mpaka 28,000
Tuwasiliane 0713096076
Wadau,
Nyumba nyingi zinathriwa na kuta kubanduka sbb ya chumvi na fungus. Nasigia kunadawa ya kupaka kabla ya kupiga rangi.
Je, ni dawa ipi hiyo? Je, mikoani kama inapatikana?
Tupeane ushauri.
Ilikuwa ni weekend tulivu na yenye kibaridi chepesi nilichoamua nikichangamshe kwa kurukia maeneo ya starehe!. Hakuna starehe niliyoipenda Kama ya kunywa!,naam kunywa kile kimiminika chenye rangi ya dhahabu ambacho hubadilisha akili kuwa katika uchangamfu.
Ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku...
Ni kweli anafanya kazi nzuri hadi sasa licha ya ukweli kwamba bado hatujafika tunapopataka.
Lakini jamani hizo sifa mnazompa Rais Samia zisitiwe chumvi, msivuke kiasi cha kujifanya kama hii nchi haina tatizo hata moja.
Tumpongeze anapofanya vizuri, tumkumbushe ambapo hapajakamilika, tupinge...
Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu.
Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi kuna hasara nyingi. Watu wengi hata hizi rangi za ngozi tulizo nazo hudhani ni ngozi yetu kumbe ni...
Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano.
Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia...
Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage hapo Arusha (naihifadhi jina kwa sasa). Mbowe akaenda zake Dodoma.
Kumbe Sabaya alikua Arusha kwa...
Lakini, chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
Umuhimu wa chumvi katika maisha
Ndio kiungo pekee kinachotumiwa na na asilimia 99.99 na wanadamu wote duniani.. Ndio kiungo kwenye chakula muhimu zaidi kinachonogesha na kuleta...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.