Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!!
Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika.
•Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...