Habari wana jf,
Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu.
Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali.
Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k, vimewafanya jamaa kuandika historia.
Mafanikio hayana uchawi zaidi ya kujipanga. Mtaani apewe...
Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi.
Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka.
Licha ya...
Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa.
Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
Wanachelewa kulala lakini wanawahi kuamka, ni kina mama wauza maziwa katika Kituo cha Nyichoka Kata ya Kyambahi Wilaya ya Serengeti ili kuwahi wateja kwenye mabasi yanayopita saa 12 kuelekea Musoma,Bunda na Mwanza.
Kwa kuwa wengi wao hukamua wenyewe ,huwalazimu kuanza saa 10 alfajiri muda...
Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji.
Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
Tarehe 30/04/2022 Jumamosi Kariakoo Derby Yanga Vs Simba baada ya DK 90 Kuna watu watalia na kusaga meno, mikeka itachanika, ndoa zitaingia Kizungumkuti na hata like tendo siku hii huenda baadhi litapoteza ladha, wengine watafilisika na mwisho kwa bahati mbaya wengine wanaweza kupoteza uhai kwa...
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
Kuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine.
Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila...
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.
Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.
Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.