chuo cha ardhi morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatakiwa kuongeza nguvu kuboresha chuo cha ardhi Morogoro

    MOROGORO: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mzava, ameitaka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuongeza nguvu katika kuboresha na kupanua Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) ili kuongeza uwezo wa kuzalisha wataalamu wengi zaidi katika...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Pinda ataka mradi ujenzi Chuo cha Ardhi Morogoro kuwekewa nguvu

    MOROGORO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ametaka mradi wa ujenzi wa Chuo cha Ardhi Morogoro unaojumuisha eneo mahali chuo kilipo na eneo la mlima Kola kuwekewa nguvu ili uweze kukamilika kabla ya muda uliopangwa. Mhe. Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe...
Back
Top Bottom