chuo kikuu mlimani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wazabuni tunaofanya kazi Chuo Kikuu Mlimani tunazungushwa malipo yetu kwa muda mrefu

    Binafsi, nina kampuni ya usafi inayotoa huduma katika taasisi kadhaa, ikiwemo Chuo Kikuu cha Mlimani. Hata hivyo, changamoto kubwa imekuwa ni malipo ya huduma tunazotoa. Unaweza kufanya kazi kwa zaidi ya miezi tisa bila kulipwa, huku ukiwa na wafanyakazi wenye familia zinazokutegemea na ambao...
  2. Matope

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara kipande cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama unaenda Changanyikeni

    Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education. Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...
Back
Top Bottom