Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education.
Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...