chuo

  1. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  2. Kagera: Chuo cha Kilimo cha Igabiro chasema Vyeti vya Wahitimu vimetoka na vinapatikana chuo

    Baada ya Mwananchi ambaye ni Member wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mhitimu wa Igabiro Training Institute of Agriculture Wilayani Muleba kueleza kuwa Wahitimu wa awamu mbili chuoni takribani miaka miwili hawajapata vyeti licha ya kukamilisha taratibu zote, hatimaye vyeti vimetolewa...
  3. Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro,wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  4. A

    KERO Huu ni kama wizi unaofanywa na Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) kwa Wanafunzi wake

    Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili. Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa kulipa anapigwa penalty ya 50k ina maana kwa awamu zote nne akichelewa kulipa ataongeza 200k nje na...
  5. RPC Tabora: Tunafuatilia taarifa za Wahalifu kuvamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Chuo cha Polytechnic College

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la Polisi limesema linafuatilia. Awali Mdau alieleza kuwa taarifa ya matukio ya Wanafunzi na raia...
  6. Rasmi Likud kujiunga na Chuo kesho

    Sifa ya Chuo: Chuo cha Kati. Idadi ya wanafunzi Chuo kizima: Approximately 7000. Kozi ninayo chukua? " " Duration : 3.months. Idadi ya wanafunzi: Kozi nzima : 300 plus. Darasa langu : wanafunzi Sabini na nane. Kati ya wanafunzi Sabini na nane: 1. Ke.... 49 2. Me...29. Age zao ( ke )...
  7. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  8. Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo hicho kutolipwa stahiki zao mbalimbali. Awali, Wanachama wa JamiiForums.com walidai kuna changamoto...
  9. Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

    Ndugu zangu JF, Rafiki yangu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikuwa naomba ushahuri na muongozo tumsaidie.
  10. P

    Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  11. Msemaji wa Chuo Kikuu cha SAUT ajibu madai ya mfumo wao wa Matokeo kuchezewa na baadhi ya watu, asema upo imara

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
  12. K

    Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  13. K

    Chuo cha Swimming (Kuogelea)

    Chuo kipi kinachotoa mafunzo kwa swimming instructors (Swimming short course) including certificates? Location: Dar
  14. Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  15. Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  16. M

    Chuo cha Kampala hakijatupa ‘refund’ za Mwaka 2023, wanadai wanazirejesha Bodi ya Mikopo, kama kweli HESLB toeni tamko

    Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
  17. KERO Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam wanachukua hela ya bima ila wanafunzi hawapati kadi ya Bima

    Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata...
  18. M

    Chuo cha veta cha mkoa upi kinafundisha short course ya STEEL FIXING/USUKAJI WA NONDO?

    Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze wakuu nitalipia gharama za mafunzo.
  19. K

    Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  20. M

    DOKEZO Chuo cha teknolojia Ujenzi Morogoro hakina wakufunzi wakutosha, wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu hawawalipi

    Habari ndugu zangu, Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…