Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani katika somo la kifaransa ambalo lilikuwa somo la lazima na baadae kulifanya somo la hiari kwa baadhi...
MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani.
Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma...
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake.
Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore.
Oktoba 23, 1966.
Wananchi,
Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani.
Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina Maana uwepo chuo asubuhi Mpaka Jioni.
*Ule muda wa free ndio muda wa kujitafuta na Kufanya mambo ya...
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
Anonymous
Thread
chuo
dar
dar es salaam
dit
jina
technology
wanafunzi
wiki
Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika.
Diana ambaye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo hizo maarufu Consumer Choice Awards...
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University of Tanzania - SAUT MAIN CAMPUS).
Wanafunzi tumejaa katika Ukumbi wa chuo kiasi kwamba wengine...
Anonymous
Thread
boresheni
chuochuo kikuu
idadi
kikuu
saut
ukumbi
wanafunzi
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.
Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo.
Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
Anonymous
Thread
chuo
hatua
kero
masters
uchukue
udsm
uongozi
wanafunzi
wengi
Moja kwa moja niende kwenye mada inayohusu vyuo vingi lakini hasa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT), ambapo limetoka tangazo linalowataka wanafunzi kulipa asilimia 50 ya ada ili kuruhusiwa kufanya Test 1.
Kwa kuwa mhula umeanza hivi karibuni na tunafahamu vipato vinatofautiana, baadhi ya...
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa.
Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
Hiki chuo kama kinachukuliwa poa, sawa na Mzumbe "ilipoondolewa" Katika majukumu yake ya serikali za mitaa. Kwanza, nashauri chuo cha mipango kifanyiwe study, hakuna maendeleo bila mipango.
Tume ya mipango ina link vipi na chuo hiki? Kiwe ni chuo cha elimu ya awali au ya kujiendeleza? Mipango...
Nafasi
Tutors (Diogonostic radiography na Nursing), Receptionist na Networking
Sifa za Mwombaji
Elimu ngazi ya diploma na kuendelea
Maombi yote yatumwe kupitia
Email: info@nyaishozicollege.ac.tz
au
Whatsapp: 0745009792
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.