chuo

  1. TRA Tanzania

    Dar es Salaam: Mahafali ya 17 ya Chuo cha Kodi (ITA)

    Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye amewataka wahitimu kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho na kuwa vinara katika kuhamasisha ulipaji kodi kwa...
  2. The Watchman

    DC Temeke amekifungia chuo cha Kewovac kinachotoa elimu ya uuguzi na ukunga Mbagala kutokana na ubovu wa mazingira ya chuo

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amekifungia chuo cha Kewovac kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya uuguzi na ukunga kilichopo Mbagala Charambe kwa kutokidhi vigezo vya utoaji wa elimu hiyo na ubovu wa mazingira ya chuo hicho. DC Mapunda ameagiza kukamatwa mara moja kwa mkurugenzi wa...
  3. Torra Siabba

    KERO Walisema watatupa ufadhili kusoma Chuo Kikuu cha SUMAIT (Zanzibar) hadi tuhitimu, ufadhili umesitishwa kinyume na makubaliano

    Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
  4. Friedrich Nietzsche

    Wakuu sikioni chuo Kikuu Dodoma, tuliambiwa ni chuo kikubwa Afrika

    Aah nini kinaendelea au hujuma😎
  5. T

    KERO Chuo Kikuu Huria - Singida kiboreshe mazingira yake, ni kama vile kimetelekezwa

    Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani. Pia sehem za kusomea...
  6. Magical power

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
  7. K

    Niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza, mbona siwaoni?

    Nikiwa O Level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza Mbona huku chuo siwaoni? AU wanakuwa wapi? Mbona kila nikitongoza nakataliwa? Mbona mademu wanapenda Hela?
  8. W

    Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

    Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
  9. G

    Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  10. Komando kipen

    Mwenye kufahamu au kusoma Chuo cha Cavendish cha Uganda

    Musaada kwa mwenye ufahamu au kasoma chuo Cha Cavendish university Uganda. Nataka kuanza masomo hapo jan2025
  11. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  12. Roseyree

    Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
  13. M

    Natafuta kazi nimesomea Human Resources chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam

    Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri Mawasiliano 0624-137476 E-mail:faidhak6@gmail.com
  14. K

    Somo la Pharmaceutical calculations lilinitesa chuo, nauza kitabu chake

    Kipindi nasoma Pharmacy hili somo lilinitesa sana hadi nilipata Sapu (Supplementary). Kwa hasira nikanunua hard copy ya Kitabu chake "Pharmaceutical calculations by Ansel 13th Edition" kwa sh. 50,000/= Basi ilikuwa ni ku solve tu... "Humu tu...😂 Humu tu...😂" Kwa sasa nikiwa nakiona kwenye...
  15. sanga misuka

    Kujitolea huku unasoma chuo

    Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
  16. Roving Journalist

    Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya Maadili...
  17. J

    Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  18. K

    Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

    Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa 1. RUAHA university-Iringa 2. Iringa university-Iringa 3. Tumaini Makumila university-Arusha 4. Mzumbe...
  19. M

    Napata changamoto katika kuconfirm chuo

    Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
  20. kagoshima

    Mwenyekujua namna ya ku confirm chuo cha kujiunga kwenye Multiple selection

    Hello ni wapi na confirm chuo ninacho kitaka kwenye case ya multiple selection? Je ni TCU? Je nikwenye moja wapi ya vyuo? Na process zikoje. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom