NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani.
Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina Maana uwepo chuo asubuhi Mpaka Jioni.
*Ule muda wa free ndio muda wa kujitafuta na Kufanya mambo ya...
Nikiwa O Level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza
Mbona huku chuo siwaoni?
AU wanakuwa wapi?
Mbona kila nikitongoza nakataliwa?
Mbona mademu wanapenda Hela?
Habari ndugu zangu,
Naitwa Paschal, nipo Dar es Salaam, Kigamboni. Nimekumbana na changamoto ya kimatokeo, kwani inatakiwa niingie mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Hata hivyo, naona kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuendelea kutokana na somo moja la semester ya...
TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
Habari wakuu!!
Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma.
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao.
Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo.
Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
habari vijana.
nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.
bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.
ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.
kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma.
Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
Habari za leo watanzania wenzangu. Mimi ninaomba kuuliza kitu kuhusu ufadhilii serikali inaoutoa nje ya nchi. SerikImekuwa ikitoa ufafhili ambayo mimi naweza kusema ni wa kisiasa zaidi na hauna malengo madhubuti kwani baada ya hao waliofadhiliwa kurejea nchini baada ya kuhitimu masomo wanaanza...
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
Habari wanajf....... Nawasalim kwa jina la jamuhuri ya jf.......
Leo nipo na mada moja ni kuhusu maisha ya chuoni ....
Mimi nipo chuo fulani Ivi apa Tanzania nasoma bachelor of Accountancy with information technology, Nilichagua hiyo programu maana ni kitu napenda na pia napenda kuwa programmer...
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.
kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu.
Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.