Wengi wanapeleka watoto advance kwa kukariri kwamba ndivyo ilivyozoeleka kwamba mtu akiwa na credit 3 basi anaenda form 5, wamekariri kwamba watu wanaoenda chuoni baada ya form 4 ni wale wenye division 4 tu kumbe kuna wenye division 1 zao, wamejiongeza na wapo huko vyuoni wakiwa wameanza kusomea...
Huu upepo umeanzia Marekani, Nlisoma mtandaoni kua mamilioni ya vijana wengi wa kiume Kule united states hawaendi tena chuo, kijana akimaliza high school, anaingia kitaa Anajiajiri kwa kupiga mishe zake Binafsi, vijana wa USA wanaona kugraduate chuo unadaiwa $60,000 na kazi hazilipi ni ujinga...
Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm.
Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine wakiruka madirishani. Bado haipo wazi watu wangapi wamejeruhiwa. Polisi wanasema Mshambuliaji ni...
Wakuu habari za leo.
Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.
Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.
Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu...
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya sayansi asilia pamoja na hesabu(CNMS), Hivyo nimebahatika kula, kuishi, kujadili, kuongelea na kulala...
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku?
Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza?
Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru...
Kwa vijan wengi, Maisha ya vyuoni ndio huwa maisha ya kuishi kwa uhuru kwa mara ya kwanza, Ndicho kipindi vijana wengi hutilia mkazo swala la kutafuta wachumba.
Na nisikudanganye, zamani bila kutumia ujanja unaweza ondoka chuoni hujawahi kuwa na dem, sijui kwa ikuhizi.
Mabinti wengi wa vyuoni...
Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!.
Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi mzee nikaingia Univ. Aisee hao mademu mbona siwaoni?
Aise mbona hata hizo bata ni za manati jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.