Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume.
Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo hata kwenye magrupu ya 'discussion'. Ulikuwa ukiingia kwenye vyumba vyao, utakuta matunda, juisi, wine...