civic united front

The Civic United Front (CUF; Swahili: Chama Cha Wananchi, lit. 'Party of Citizens') is a liberal party in Tanzania. Although nationally based, most of the CUF's support comes from the Zanzibar islands of Unguja and Pemba. The party is a member of Liberal International.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chama cha Civic United Front (CUF) chataka uwepo wa serikali ya mpito, Uchaguzi uliofanyika ni UBAKWAJI wa DEMOKRASIA

    Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…