PostGE2025 Chama cha Civic United Front (CUF) chataka uwepo wa serikali ya mpito, Uchaguzi uliofanyika ni UBAKWAJI wa DEMOKRASIA

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika.

Akizungumza Novemba 5, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, amesema chama chake hakitambui matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97.66 ya kura, akidai matokeo hayo ‘hayawakilishi uhalisia wa maamuzi ya wananchi’.

Amesema hali ya usalama wakati wa uchaguzi ilikuwa ya kutisha, akitaja matukio ya mauaji na ukandamizaji wa raia, ambayo amesema yalizua hofu kubwa na kuondoa uhalali wa mchakato wa kidemokrasia.

CUF imesisitiza kuwa Rais Samia alipaswa kukamilisha kwanza mchakato wa Katiba Mpya, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, na kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka huu.

Kiujumla, maazimio ya CUF baada ya kufanya tathmini ya matokeo na mwenendo wa uchaguzi ni kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa msingi kuwa hayana uhalali wa kidemokrasia, kudai kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru, kuitaka Serikali kuunda Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa siku ya uchaguzi, kuhimiza mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya maridhiano na umoja wa kitaifa, kuelekeza bendera za CUF kupandishwa nusu mlingoti kwa mwezi mmoja kama heshima kwa waliopoteza maisha na kuwataka Watanzania kufanya ibada maalum tarehe 10 Novemba 2025 kwa kufunga na kuomba dua au misa kwa ajili ya amani na haki nchini.
 
safi sana, na cuf kihistoria ni de facto a muslim party, hivyo hii serikali imekabwa kote kote sijui kama itatoboa, wacha tusubiri kwani hata muslims wanaipinga pia ...
 
Gov lazima itambueno body support this
 
Wapuuzi wakubwa hao, ni kipi walikuwa hawakijui kabla ya huu uchaguzi hadi wakaamua kushiriki na kuupa uhalali huo uchaguzi? Wameona raia wamekataa waziwazo huo ushenzi, ndio na wao wanajifanya kuvimba ili wapate huruma ya wananchi.

Chama pekee kilichobaki na imani ya wananchi ni cdm, kwa kusimamia utashi wa umma toka mwanzo. Hata ukifanyika uchaguzi wa haki, cdm ndio chama kitakachopata ushindi wa kweli wa kishindo.
 
Vitu vingine had vinachekesha
 
Hatimaye Tanzania imebakwa
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika.

Akizungumza Novemba 5, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, amesema chama chake hakitambui matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97.66 ya kura, akidai matokeo hayo ‘hayawakilishi uhalisia wa maamuzi ya wananchi’.

Amesema hali ya usalama wakati wa uchaguzi ilikuwa ya kutisha, akitaja matukio ya mauaji na ukandamizaji wa raia, ambayo amesema yalizua hofu kubwa na kuondoa uhalali wa mchakato wa kidemokrasia.

CUF imesisitiza kuwa Rais Samia alipaswa kukamilisha kwanza mchakato wa Katiba Mpya, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, na kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka huu.

Kiujumla, maazimio ya CUF baada ya kufanya tathmini ya matokeo na mwenendo wa uchaguzi ni kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa msingi kuwa hayana uhalali wa kidemokrasia, kudai kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru, kuitaka Serikali kuunda Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa siku ya uchaguzi, kuhimiza mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya maridhiano na umoja wa kitaifa, kuelekeza bendera za CUF kupandishwa nusu mlingoti kwa mwezi mmoja kama heshima kwa waliopoteza maisha na kuwataka Watanzania kufanya ibada maalum tarehe 10 Novemba 2025 kwa kufunga na kuomba dua au misa kwa ajili ya amani na haki nchini.
 
Huyu anataka kua mwenyekiti wa maridhiano na Butiku tunajua
 
Hawa wapumbavu kweli
tuliposema NO REFORMS NO ELECTION Walidhani tunaimba kwaya!

PUMBAVU!
 
Akina Chaubwabwa wanasemaje,akina Act walishaonjeshwa shubiri mapeeema asybuhi kabla hapaja kucha.Sijui akina CcmD....P wako na hali gani huko walipo hivi sasa,bila shaka nao waligawiwa Kisusio cha madogo!
 
Chama cha Wananchi (CUF) kimetaka kuundwa kwa Serikali ya Mpito (Caretaker Government) ya Tanzania itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru na wa haki, kikikataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai kuwa haukuwa huru, wa haki, wala wa kuaminika.

Akizungumza Novemba 5, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, amesema chama chake hakitambui matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), yaliyompa ushindi Rais Samia Suluhu Hassan kwa asilimia 97.66 ya kura, akidai matokeo hayo ‘hayawakilishi uhalisia wa maamuzi ya wananchi’.

Amesema hali ya usalama wakati wa uchaguzi ilikuwa ya kutisha, akitaja matukio ya mauaji na ukandamizaji wa raia, ambayo amesema yalizua hofu kubwa na kuondoa uhalali wa mchakato wa kidemokrasia.

CUF imesisitiza kuwa Rais Samia alipaswa kukamilisha kwanza mchakato wa Katiba Mpya, kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, na kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka huu.

Kiujumla, maazimio ya CUF baada ya kufanya tathmini ya matokeo na mwenendo wa uchaguzi ni kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa msingi kuwa hayana uhalali wa kidemokrasia, kudai kuundwa kwa Serikali ya Mpito itakayosimamia mabadiliko ya kikatiba na maandalizi ya uchaguzi huru, kuitaka Serikali kuunda Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ulioripotiwa siku ya uchaguzi, kuhimiza mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya maridhiano na umoja wa kitaifa, kuelekeza bendera za CUF kupandishwa nusu mlingoti kwa mwezi mmoja kama heshima kwa waliopoteza maisha na kuwataka Watanzania kufanya ibada maalum tarehe 10 Novemba 2025 kwa kufunga na kuomba dua au misa kwa ajili ya amani na haki nchini.

Kwanini walishiriki
 
Le professour, anafanya siasa kuendana na upepo wa siasa unavyovuma
 
Back
Top Bottom