Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.
Huku insta naona bei zimechangamka sana, shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna...