Habari wakuu,
Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali.
Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...
Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
Wadau habari zenu,
Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama kunsmtu anafaham utaratibu wowote wa kuzipata nitafurahi hatakama ni kuagiza nje ya nchi nipo tayari...
Wakuu umofia kwenu...kuna mtoto mmoja nataka nimle vya kutosha maeneo ya kigamboni....sasa natafuta classic iliyojificha maeneo ya kigamboni..bdget yangu ni kuanzia 35000 hadi 50000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.