classic

  1. Ibra classic vs Mmalawi ilikuwa ni bonge la mechi

    Habari wakuu, Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali. Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...
  2. Msaada wa maoni na ushauri kuhusu Range rover classic

    Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
  3. Nitapata wapi sofa nzuri

    Wadau habari zenu, Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama kunsmtu anafaham utaratibu wowote wa kuzipata nitafurahi hatakama ni kuagiza nje ya nchi nipo tayari...
  4. U

    Lodge iliyojificha classic maeneo ya Kigamboni

    Wakuu umofia kwenu...kuna mtoto mmoja nataka nimle vya kutosha maeneo ya kigamboni....sasa natafuta classic iliyojificha maeneo ya kigamboni..bdget yangu ni kuanzia 35000 hadi 50000
  5. Changamkia nguo za watoto classic

    Pata nguo kali za watoto kwa 5000 tu Dar es Salaam 0752976792💎 Check na picha hapa 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…