Clatous Chama, sometimes reported as Cletus Chama, (born 18 June 1991) is a Zambian footballer.Who currently playing for simba football club and Zambian national team
Ni mwamba Clatous Chota Chama kaingia kambani mara 2 dhidi ya Mashujaa!
Tunaambiwa hana furaha kabisa pale Yanga ndio maana kafuta picha zote kwa mujibu wa watabiri kutoka ukoloni🤣🤣🤣
Na sisi tunasema hana furaha kabisa anarudi ukoloni keshokutwa tu hapo!
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini.
Heshima aliyojitengenezea akiwa...
Kama kawaida ya wahasibu wa Tanzania, ambapo hua tunasomea na kuchambua mpira, Mambo ya kihasibu, yaani kuhesabu mafaranga njoo kama vile tuliwachambulia Kwa Aziz Ki.
Kwahiyo uelekeo wa CPA ndio unaonesha yote hayo, Haya mambo hamuwezi kuyaelewa ninyi Yanga, na hamtoelewa.
Yaani uhasibu ni...
Impact ya Chama jangwani sio kwenye mechi tu. Bali kwenye uwanja wa mazoezi.
Sio Aziz ki, Pacome na Max wote walisema walitamani Sana kucheza na Chama. Sisi huku vilaza oh kazeeka. Oh ela kubwa.
Chama now sio mchezaji. Anaweza kuwa assistant coach au kocha kamili wa viungo washambuliaji na...
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni.
Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.
Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka...
Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru.
===
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!
Hongera SSC kwa operation hiyo...
Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.
Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini.
Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie?
Watoto wa leo...
Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025.
====
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga na Chama ni virusi wakuu ndani ya Wachezaji wa Simba SC kwanini mnawabembeleza hivi ili kuwabakiza...
Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.
Haya ni mapungufu ya Chama
1)...
Huyu jamaa,
Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea.
Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi.
Ni bonge la mchezaji.
Kwa muda mrefu timu ya Simba imekuwa inavutana na mchezaji wake clatous Chama lakini imeshindwa kumfukuza kutokana na jinsi media zimekuwa zikivumisha kuwa mchezaji huyo anahitajiwa na klabu ya Yanga. Simba imekuwa ikipiga mikwala mizito isiyo na athari. Ninavyoamini mimi ni kwamba kusingekuwa...
Tokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.
Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.