clatous chama

Clatous Chama, sometimes reported as Cletus Chama, (born 18 June 1991) is a Zambian footballer.Who currently playing for simba football club and Zambian national team

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Kipigo Cha goli 5 kinaitesa Simba, Clatous Chama anaishi maisha yake.

    Kuna mtu anajifariji kwa kusema Simba ni kubwa kuliko Chama, ni sawa lakini Chama ni Bora kuliko Wachezaji wote wa Simba, Tanzania na Afrika. Chama alishaondoka Simba kwenda Uarabuni Simba ikakosa ubingwa kwa misimu 2 hadi wakaenda kumtafuta kwa hali na mali kwa udi na uvumba arudi kikosini...
  2. William Mshumbusi

    Nilivyomsikia benchikha anasema hataangalia majina nikajua tu CHAMA atapata tabu sana Simba

    Ni kama sharti la kwanza kuwa kocha Simba ni kuacha kumtumia Chama. Kila kocha anayepewa timu isipokuwa ngunda tu hujaribu kutomtummia. Ukweli ni kuwa chama hana mbadala wake kutoka africa hii labda tumsajili sadio Mane. Kwanini Chama akae nje dk 60 kumpisha onana? Viongozi hawajitambui...
  3. Mhaya

    Clatous Chama (Triple C) amewatamani sana Watanzania, katuma ujumbe wa salamu dhidi ya Taifa Stars

    Ujumbe wa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama baada ya Tanzania kupangwa kundi F sambamba na timu yake ya Taifa ya Zambia, DRC na Morocco kwenye droo ya upangaji wa makundi ya fainali za kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023. “Ndugu zangu Watanzania, hatimaye yametimia, tukutane Cote D'Ivoire!”...
  4. GENTAMYCINE

    Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha. Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake (tena akiwa bado Kwao) nchini...
  5. Unasemeje

    Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  6. Heavy Metal

    Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  7. SAYVILLE

    Clatous Chama awa target ya kuchezewa rafu nyingi huko AFCON

    Sikupata wasaa wa kuangalia game ya marudiano ya Zambia vs Lesotho katika mashindano ya kutafuta kufuzu AFCON. Katika mechi hiyo Zambia walishinda 2-0. Katika mechi hiyo, kiungo wa Simba, Clatous Chama aliingia kipindi cha pili dakika ya 80 na kucheza kwa takribani dakika 10+. Takwimu...
  8. kavulata

    Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

    Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani. Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
  9. JanguKamaJangu

    Taarifa rasmi ni kuwa Clatous Chama ataendelea kukosa michezo ya Simba

    Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi. Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
  10. M

    Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  11. L

    Je Clatous chama wa simba atacheza robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika?

    wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
  12. BigTall

    Clatous Chama na Pablo wa Simba wabeba tuzo za mwezi Ligi Kuu Bara

    PABLO FRANCO - Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022. CLATOUS CHAMA - Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Machi, 2022.
  13. IAmShedeOne

    Edo Kumwembe: Simba inaweza kuachana na Bwalya

    EDO: SIMBA WANAWEZA KUACHANA NA BWALYA Rally Bwalya? Huu ni mtihani. Kipaji kipo kwa Bwalya lakini hajawahi kuikamata Simba kama inavyotakiwa. Hata walipoondoka Luis Miquissone na Clatous Chotta Chama watu wengi walitazamia Bwalya avae viatu vyao lakini hakuvaa kama inavyotakiwa. Bwalya...
  14. demigod

    Nimemtazama Chama leo Manungu, ni kweli amebaki jina tu!

    Akiwa na Umri wa miaka 31. Clautous Chama anaonekana akiwa amechoka mapema. Ukilinganisha na wachezaji wenzake wenye umri sawa na yeye kama wakina Baraka Majogoro, Lucas Kikoti na Ramadhan Chombo. Urejeo wake unaonekana wazi kwamba umeleta mzigo wa wachezaji wenye umri mkubwa na kuongezeka kwa...
  15. M

    Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  16. M

    Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
  17. M

    Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  18. Greatest Of All Time

    Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

    Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana! Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko Morocco, wana Simba mjiandae kupokea tangazo la kuuzwa kwa Chama muda wowote kuanzia sasa! Neno moja...
  19. Greatest Of All Time

    Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa. Kitenge ametumbia...
  20. Cannabis

    Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

    Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake. Mo...
Back
Top Bottom