Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei
Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda. Huwa ana mbio sana. Ni mkimbiaji uwanjani. Ana assist 5. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 5 na magoli...