club

A club is an association of people united by a common interest or goal. A service club, for example, exists for voluntary or charitable activities. There are clubs devoted to hobbies and sports, social activities clubs, political and religious clubs, and so forth.

View More On Wikipedia.org
  1. Financial Analyst

    Jamani mziki wa club mshenzi unaweza kunigharimu kuanzia bei gani?

    Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu. Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
  2. Pdidy

    Tar 28 Feb tuna jambo letu wapendwa leaders club

    Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle. Bendera Gamanywa Fernandes Maboya Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja Mungu akubariki sana wewe utakaekuwepoo
  3. Rula ya Mafisadi

    Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  4. Damaso

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kima

    Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
  5. Dalton elijah

    Panda Shuka Na Anguko La Kagera Sugar Football Club

    KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
  6. Gordian Anduru

    TUMALIZE UBISHI: Nimeiuliza CHATGPT Which is The best football club in Tanzania

    BAAAS KWISHAAA
  7. Dabil

    Seleman Mwalimu anakwenda kuchezea klabu namba 3 Afrika, Mzize yupo anabangaiza klabu namba 12

    Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 . Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
  8. Street Hustler

    Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  9. shuka chini

    Droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Shirikisho 2025

    Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya. == Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kwa msimu wa 2024–25. Hata hivyo, kulingana na ratiba ya mashindano, mechi za robo fainali...
  10. Teslarati

    Je tutegemee club Bilicanas kurudi?

    Mwamba alisema akishindwa uchaguzi atarudi kukomaa na biashara zake. Kwa unyenyekevu kabisa naomba uturudishie Bilicanas, kwa niaba ya walevi wote.
  11. shuka chini

    Droo ya club bingwa na shirikisho hatua ya robo itafanyika lini

    Wadau poleni na kazi. Nilikuwa nauliza droo ya shirikisho na club bingwa itafanyika lini hatua ya robo. Uzi tayari. Kwa wanauto kaeni kwa kutulia.
  12. Arafati Kilongola

    Patriotism Club: A Bridge to Strengthen Values, Unity, and Leadership for Tomorrow

    Dear community, In today’s world, patriotism and national values are crucial elements that require deliberate efforts, especially among the youth. As a nation, we need a generation that treasures integrity, unity, and accountability for collective growth. With this in mind, I propose the...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo apokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya wizara ya mambo ya nje-nje sports club

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
  14. The Palm Beach

    Jeremiah Masanja: Mbowe "Atalazimishwa kuondoka CHADEMA". Lissu namfahamu tumesoma naye, Mbowe namfahamu tumecheza naye muzik Billcanas Club enzi hizo

    https://youtu.be/WhlUbdvI5CA?si=6EYlRBSl4ZN0QnT5 Akihojiwa na SAUT DIGITAL, Mwanasiasa na mwanachama mwaminifu wa CHADEMA, jirani yake Tundu Lissu huko wanakoishi kwa takribani miaka 21 Mzee Jeremiah Masanja ametoa maoni na mtazamo wake juu ya hali ya CHADEMA sasa na wagombea uenyekiti wawili...
  15. S

    Hakuna ofa Yoyote kwa feisal kwa club za ndani

    Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc. Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal kuondoka Azam ni kumaliza mkataba au kuuzwa kwa 1B kwa klabu ya 🇹🇿. Yanga atapata 25% ya mauzo ya...
  16. S

    Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  17. G

    Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
  18. kipara kipya

    Utafiti mdogo club za tanzania zina machawa sio maafsa habari waliochangamka!

    Ukimsikiliza afsa habari wa yanga anavyozungumza upuuzi wa mambo ya supu na kuhusu watu wote wapakeze chokaa kichwani unashangaa unageuka simba msemaji wake anapuyanga tiketi sold out upuuzi mtupu unakwenda tabora united unamsikiliza yule bi dada anaharisha eti afadhali moalim alijua akajiudhulu...
  19. Pdidy

    Hivi mnaoishi karibu na club mnawezaje hayo makelele

    Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club. Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi kubwa. Huyu DJ nahisi anapiga na mirungi, sijui kama siyo smart. Wanaanza vizuri, muda ukifika saa...
  20. technically

    Manara acha kuhujumu club ya yanga

    Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans Hii timu Ina historia kubwa katika mpira Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo Nasema...
Back
Top Bottom